• HABARI MPYA

        Saturday, November 22, 2014

        YANGA SC WAWAENZI BARAKA KARASHANI, INNO MUNYUKU

        Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga SC, Mohamed Bhinda (kulia) akimkabidhi Magezi Karashani kaka wa marehemu Baraka Karashani, aliyekuwa Mwandishi wa Habari za Michezo nchini, ubani wa Sh. 500,000 baada ya mazishi yake Kinondoni, Dar es Salaam leo. 
        Yanga SC walitoa ubani kama huo kwa msiba mwingine wa Mwandishi wa Michezo pia, Innocent Munyuku jana
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: YANGA SC WAWAENZI BARAKA KARASHANI, INNO MUNYUKU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry