// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WAANDISHI WAWILI WA MICHEZO WAFARIKI DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WAANDISHI WAWILI WA MICHEZO WAFARIKI DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, November 19, 2014

    WAANDISHI WAWILI WA MICHEZO WAFARIKI DUNIA

    Pumzikeni kwa amani; Baraka Karashani (kushoto) na Inno Munyuku (kulia) wameaga dunia
    "Habari wadau, kwa masikitiko makubwa nawajulisha kuwa mwanachama mwenzetu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Baraka Karashani amefariki dunia mchana huu katika hospitali ya jeshi Lugalo alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.  Pia mwandishi mahiri wa zamani wa habari za michezo nchini Innocent Munyuku, naye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
    Hilo ni pigo kwa waandishi wa habari za michezo na wanamichezo kwa ujumla, maana wote wameondoka wakati bado mchango wao ukihitajika sana. Taarifa zaidi tutaendelea kupeana kwa njia mbalimbali. Mungu aziweke roho za marehemu mahali pema peponi. Amina.
    Nawasilisha, Amir Mhando, Katibu Mkuu TASWA, 19/11/2014,"
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAANDISHI WAWILI WA MICHEZO WAFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top