// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TOTTI AANZISHA VITA YA MANENO NA BALOTELLI, ASEMA JAMAA HABADILIKI NA HAMSIKILIZI YEYOTE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TOTTI AANZISHA VITA YA MANENO NA BALOTELLI, ASEMA JAMAA HABADILIKI NA HAMSIKILIZI YEYOTE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, November 19, 2014

    TOTTI AANZISHA VITA YA MANENO NA BALOTELLI, ASEMA JAMAA HABADILIKI NA HAMSIKILIZI YEYOTE

    NAHODHA wa AS Roma, Francesco Totti amemuwashia moto mshambuliaji wa Liverpool, Mario Balotelli, akikuambia kwamba; 'hamsikilizi mtu yeyote.'
    Totti alitolewa nje kwa kadi nyekundu kwa kumpiga mshambuliaji huyo alipokuwa anachezea Inter Milan miaka minne iliyopita wakati Roma ikifungwa 1-0 katika fainali ya Coppa Italia.
    Na iantokea hajabadilisha maoni yake juu ya mchezaji huyo baada ya kunukuliwa akisema: "Siwezi kumshauri Balotelli. Kila mmoja amejaribu pia, lakini hamsikilizi mtu yeyote,".
    Francesco Totti does not believe that striker Mario Balotelli will ever improve his attitude
    Francesco Totti hamming kama mshambuliaji Mario Balotelli atabadilika kitabia
    Balotelli (centre) has only scored twice since joining Liverpool from AC Milan in Augsut
    Balotelli amefunga mabao mawili tu tangu ajiunge na Liverpool kutoka AC Milan Agosti mwaka huu

    Maneno hayo yanakuja baada ya kocha wa Italia, Antonio Conte, aliyekaririwa na Raisport kabla ya mechi ya kirafiki na Albania akisema: "Siwezi kusema niko tofauti sana na makocha wengine wakubwa, lakini historia inatuambia kwamba walishindwa kumbadili Balotelli. Itakuwa ni juu ya mchezaji mwenyewe, lakini sina muda sana na nahitaji vitu sahihi,". 
    Balotelli amekuwa katika wakati mgumu tangu ajiunge na Liverpool akitokea AC Milan mwezi Agosti kutokana na kufunga mabao mawili tu, moja katika Ligi ya Mabingwa na lingine katika Kombe la Ligi.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TOTTI AANZISHA VITA YA MANENO NA BALOTELLI, ASEMA JAMAA HABADILIKI NA HAMSIKILIZI YEYOTE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top