// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TALIB HILAL ALIVYO NA JUHUDI ZA KUJIENDELEZA KIELIMU KATIKA SOKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TALIB HILAL ALIVYO NA JUHUDI ZA KUJIENDELEZA KIELIMU KATIKA SOKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, November 07, 2014

    TALIB HILAL ALIVYO NA JUHUDI ZA KUJIENDELEZA KIELIMU KATIKA SOKA

    Kocha wa zamani wa Simba SC, Talib Hilal akiwa Dubai ambako anahudhuria semina ya Wakufunzi wa soka ya ufukweni ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), inayotarajiwa kufungwa leo baada ya kuanza Novemba 4, mwaka hu. Semina hiyo hufanyika kila mwaka na Hilal ambaye enzi zake alichezea Simba SC pia, kwa sasa anaishi na kufanya kazi Oman. Hilal amekuwa mwepesi mno katika suala la kujiendeleza kielimu katika soka.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TALIB HILAL ALIVYO NA JUHUDI ZA KUJIENDELEZA KIELIMU KATIKA SOKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top