KIMWANA Susie Wolff amepelekwa kwenye majaribio rasmi ya udereva wa magari ya Williams katika mbio za Formula One 2015.
Akiwa amepanda daraja kutoka kwenye orodha ya madereva wa kuendelezwa, Wolff anachukua nafasi ya Felipe Nasr ambaye ataendesha gari la Sauber mwakani.
Wolff atashiriki awamu mbili za mazoezi kwanza ambazo zitafanyika baadate, katika kumnoa zaidi kabla ya kupewa rasmi nafasi kwenye timu hiyo ya magari.
Susie Wolff amepandishwa kwenye majaribio ya kuwa dereva wa magari ya Williams msimu ujao
Wolff akiwa amepozi kwenye gari
0 comments:
Post a Comment