// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SUAREZ ASETI ZOTE MBILI BARCA IKIUA 2-1 LA LIGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SUAREZ ASETI ZOTE MBILI BARCA IKIUA 2-1 LA LIGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, November 08, 2014

    SUAREZ ASETI ZOTE MBILI BARCA IKIUA 2-1 LA LIGA

    MSHAMBULIAJI Luis Suarez usiku huu amekuwa shujaa baada ya kuseti mabao yote mawili, Barcelona ikishinda 2-1 dhidi ya Almeria ugenini katika La Liga.
    Suarez alianza kumsetia Mbrazil, Neymar kufunga bao la kwanza dakika ya 73 ambalo lilikuwa la kusawazisha baada ya Thievy Bifouma kuifungia Almeria la kuongoza dakika ya 37, kabla ya kumpikia na Jordi Alba kufunga bao la ushindi dakika ya 82.
    Muargentina Lionel Messi alipoteza nafasi ya kufunga bao la kusawazisha rekodi ya ufungaji wa mabao mengi La Liga.
    Kikosi cha Almeria kilikuwa: Ruben; Ximo Navarro, Trujillo, Fran Velez, Dubarbier; Thomas, Verza, Soriano/Hemed dk68, Azeez; Jonathan na Thievy/Edgar dk76).
    Barcelona: Bravo; Adriano, Batra, Mascherano, Jordi Alba; Rakitic, Busquets/Xavi dk67, Rafinha; Pedro/Suarez dk45, Messi na Munir/Neymar dk45.

    Luis Suarez akipiga tik tak katika mchezo wa lela ambao Barcelona imeshinda 2-1

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2826661/Almeria-1-2-Barcelona-Luis-Suarez-sets-visitors-goals-Jordi-Alba-wins-it.html#ixzz3IVQv59Ex 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SUAREZ ASETI ZOTE MBILI BARCA IKIUA 2-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top