Benjamin Stambouli akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao pekee la ushindi kwa Tottenham dakika ya 48, Uwanja wa White Hart Lane, London usiku wa jana. Kwa ushindi huo wa 1-0, Spurs imejihakikishia kwenda 32 Bora ya Europa League.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2852347/Tottenham-1-0-Partizan-Belgrade-Benjamin-Stambouli-nets-winner-ensure-32-spot-Spurs-victory-marred-three-pitch-invasions-inside-41-minutes.html#ixzz3KKiuoRSx
0 comments:
Post a Comment