Kiungo wa Newcastle, Moussa Sissoko akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo ya kocha Alan Pardew bao pekee la ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya QPR jioni ya leo Uwanja wa St James Park.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 alifumua shuti akiwa amezongwa na Nedum Onuoha zikiwa zimesalia dakika 12 mchezo kumalizika
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2845383/Newcastle-1-0-QPR-Moussa-Sissoko-strike-secures-fifth-straight-Premier-League-win-Magpies-climb-four.html#ixzz3Joy6nEwr
0 comments:
Post a Comment