// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RONALDO AMTAMBIA MESSI USIKU HUU OLD TRAFFORD, URENO YAIBWAGA 1-0 ARGENTINA KIRAFIKI ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RONALDO AMTAMBIA MESSI USIKU HUU OLD TRAFFORD, URENO YAIBWAGA 1-0 ARGENTINA KIRAFIKI ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, November 19, 2014

    RONALDO AMTAMBIA MESSI USIKU HUU OLD TRAFFORD, URENO YAIBWAGA 1-0 ARGENTINA KIRAFIKI ENGLAND

    MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo usiku huu amemtambia mpinzani wake mkubwa, Lionel Messi walipokiytana kwa mara ya 27 Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester, England.
    Ronaldo ameiongoza Ureno kuilaza Argentina ya Messi ya 1-0, bao pekee la 90 katika mchezo huo wa kirafiki wa kimataifa.
    Wanasoka wote hao, Ronaldo wa Real Madrid na Messi wa Barcelona ya Hispania wanatarajia kushindana tena kwenye tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia mwaka huu.
    Messi advances forward with the ball for Argentina as Portugal's Ronaldo (right) looks on at Old Trafford
    Messi akiambaa na mpira mbela ya Ronaldo (kulia) usiku huu Old Trafford
    Ronaldo advances with the ball for Portugal during the international friendly against Argentina at Old Trafford
    Ronaldo akiambaa na mpira wakati Ureno ikimenyana na Argentina Uwanja wa Old Trafford
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AMTAMBIA MESSI USIKU HUU OLD TRAFFORD, URENO YAIBWAGA 1-0 ARGENTINA KIRAFIKI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top