Mmoja wa mashabiki watatu waliovamia Uwanja wa White Hart Lane jana wakati Tottenham ikimenyana na Partizan Belgrade katika mechi ya Europa League akidhibitiwa na Polisi baada ya awali kuzinguana na mchezaji wa Spurs, Roberto Soldado. Refa wa Ukraine, Yevhen Aranovskiy alisimamisha mechi hiyo dakika ya 41 baada ya shabiki wa tatu kuvamia Uwanja na akawarudisha wachezaji chumba cha kuvalia nguo, kabla ya kuwarejesha kazini dakika 10 baadaye. Spurs ilishinda 1-0.
Shabiki mwingine akijipiga picha na wachezaji bila wasiwasi
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2852316/Tottenham-s-Europa-League-game-suspended-three-separate-incidents-saw-fans-invade-pitch.html#ixzz3KKkEpBIx
0 comments:
Post a Comment