// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RASMI, SERGE WAWA MALI YA AZAM FC AMWAGA WINO JIONI HII DAR ES SALAAM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RASMI, SERGE WAWA MALI YA AZAM FC AMWAGA WINO JIONI HII DAR ES SALAAM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
    Wednesday, November 12, 2014

    RASMI, SERGE WAWA MALI YA AZAM FC AMWAGA WINO JIONI HII DAR ES SALAAM

    Katibu wa Azam FC, Nassor Idrissa 'Father' akimkabidhi jezi ya timu hiyo, beki Serge Wawa Pascal kutoka Ivory Coast baada ya kusaini Mkataba wa kujiunga na timu hiyo jioni ya leo makao makuu ya Azam, barabara ya Nyerere, Dar es Salaam. Wawa anatua kwa mabingwa hao wa Tanzania Bara baada ya kusitisha Mkataba wake na El Merreikh ya Sudan 
    Serge Wawa (katikati) akisaini Mkataba. Kulia ni wakala wake na kushoto Mwenuekiti wa Azam, Sheikh Said Muhammad. Wanaoshuhudia nyuma ni Mweka Hazina wa Azam, Karim Mapesa kushoto na Nassor Father kulia.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RASMI, SERGE WAWA MALI YA AZAM FC AMWAGA WINO JIONI HII DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry