GWIJI wa soka Brazil, Pele amerejeshwa hospitali jana mjini Sao Paulo, siku kadhaa baada ya kufanyiwa upasuaji wa figo.
"Mpendwa wetu Edson Arantes do Nascimento (Pele) amerejeshwa kwa matibabu zaidi na anaendelea vizuri," imesema taarifa ya hospitali ya Albert Einstein.
Vyombo vya Habari nchini Brazil viliripoti kwamba Pele alikuwa anatibiwa kwa maradhi ya mkojo.
Pele, mwenye umri wa miaka 74 sasa,alikwenda kufanyiwa upasuaji Novemba 13 akisumbuliwa na mawe ya figo.
Jamaa wa karibu, Jose Fornos Rodrigues ameliambia Shirika la Habari Ufaransa, AFP Pele angelazwa hospitali ya Einstein Hospital, lakini hakuzama ndani zaidi.
Pele, alizaliwa katika jamii ya watu wanyenyekevu kwenye mii wa Tres Coracoes, kabla ya kuwa gwiji wa soka aliyeheshimika ulimwengu mzima.

Pele anasumbuliwa na matatizo ya Kiafya na jana amerejeshwa hospitalia kwa matibabu |
Pele, mwenye umri wa miaka 74 sasa,alikwenda kufanyiwa upasuaji Novemba 13 akisumbuliwa na mawe ya figo.
Jamaa wa karibu, Jose Fornos Rodrigues ameliambia Shirika la Habari Ufaransa, AFP Pele angelazwa hospitali ya Einstein Hospital, lakini hakuzama ndani zaidi.
Pele, alizaliwa katika jamii ya watu wanyenyekevu kwenye mii wa Tres Coracoes, kabla ya kuwa gwiji wa soka aliyeheshimika ulimwengu mzima.
0 comments:
Post a Comment