![]() |
Pumzika kwa amani John Neal |
Neal, alimrithi shujaa wa hat trick katika Kombe la Dunia mwaka 1966, Geoff Hurst Uwanja wa Stamford Bridge mwaka 1981, aliiongoza klabu hiyo kutwaa taji la pili mwaka 1984 kabla ya kustaafu kwa sababu ya maradhi mwaka mmoja baadaye.
"Klabu ya soka ya Chelsea ina huzuni mno na kifo cha John Neal, mmoja kati ya makocha kipenzi na alma katika historia yetu. Klabu inatuma salamu zake za rambirambi kwa familia ya John na marafiki," imesema taarifa ya klabu.
"John atakumbukwa daima Chelsea kwa kuiongoza timu wakati tupo ngazi za chini,".
0 comments:
Post a Comment