Kocha Mscotland, David Moyes akipunga mkono baada ya kuwasili makao makuu ya klabu ya Real Sociedad, Hispania leo tayari kuanza kazi ya kuifundisha klabu hiyo. |
![]() |
Moyes anarudi kazini tangu afukuzwe Manchester United mwishoni mwa msimu uliopita |
![]() |
Wachezaji wa Real Sociedad wakiwa tayari kukutana na mwalimu wao mpya |
0 comments:
Post a Comment