KLABU za Ligi Kuu ya England zimetumia kiasi cha Pauni Milioni 115 kwa malipo ya mawakala wa wachezaji kwa vipindi viwili vilivyopita vya usajili, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa.
Klabu nne zimetumia viwango nane sawa, huku Chelsea ikiwa imetumia fedha nyingi zaidi, Pauni 16,7771,328 - ikifuatiwa na Liverpool iliyotumia Pauni 14,308,444, Manchester City Pauni 12,811,946 na Tottenham 10,983,011.
MALIPO YA MAWAKALA WA WACHEZAJI 2013/14...
1st: Chelsea - Pauni 16,771,328
2nd: Liverpool – Pauni 14,308,444
3rd: Manchester City – Pauni 12,811,946
4th: Tottenham Hotspur – Pauni 10,983,011
5th: Manchester United – Pauni 7,975,556
6th: West Ham United – Pauni 6,380,339
7th: Everton – Pauni 5,753,269
8th: Sunderland – Pauni 5,276,674
9th: Arsenal – Pauni 4,293,407
10th: Stoke City – Pauni 3,986,850
11th: Newcastle United – Pauni 3,876,250
12th: Swansea City – Pauni 3,784,090
13th: West Bromwich Albion – Pauni 3,493,745
14th: Queens Park Rangers – Pauni 3,242,668
15th: Southampton – Pauni 2,766,444
16th: Aston Villa – Pauni 2,577,866
17th: Hull City – Pauni 2,459,010
18th: Crystal Palace – Pauni 2,200,797
19th: Leicester City – Pauni 1,608,418
20th: Burnley – Pauni 711,024
Jumla – Pauni 115,261,136
0 comments:
Post a Comment