// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAMA MIA! ETI MNYANGE HUYU KAWA REFA WA SERIE A, WAMEKWISHA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAMA MIA! ETI MNYANGE HUYU KAWA REFA WA SERIE A, WAMEKWISHA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, November 07, 2014

    MAMA MIA! ETI MNYANGE HUYU KAWA REFA WA SERIE A, WAMEKWISHA!

    MWANAMITINDO wa Italia, Claudia Romani ameingia kwenye rani mpya katika ulimwengu wa soka- baada ya kufaulu mtihani wa kuwa refa wa kulipwa.
    Kimwana huyo mwenye umri wa miaka 32 amevua viatu vyake vya mchuchumio ili awe refa, kitu ambacho imekuwa agenda yake kwa miezi kadhaa.
    Romani sasa amefuzu kuwa refa wa mechi za Ligi Kuu ya Italia maarufu kama Serie A na Daraja la kwanza, maarufu kama Serie B - kitu ambacho anaelewa vizuri.


    Romani looks in bouyant mood as she models in a referee's kit for Halloween
    Romani poses for a photo in her referee costume
    Claudio Romani sasa amekuwa refa ambaye amefuzu kuchezesha za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza Italia

    Amesema: "Kukimbia uwanjani na wachezaji wote hao na kuchezesha mechi ni nafasi adimu,".
    Hakuna mwanamke amewahi kuchezesha mechi ya Serie A hadi sasa kutokana na uzoefu, jambo ambalo linatarajiwa kubadilika karibuni kwa Romani kutazamiwa kuwasha moto katika ligi ya Italia.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAMA MIA! ETI MNYANGE HUYU KAWA REFA WA SERIE A, WAMEKWISHA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top