Mabeki wa kati wa Liverpool, Kolo Toure (kushoto) na Joe Allen (kulia) wakiruka juu kupambana na mshambuliaji wa Stoke City, Jonathan Walters katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Anfield. Liverpool ilishinda 1-0, bao pekee la Glen Johnson dakika ya 85.
Mshambuliaji wa Liverpool, ambaye ni majeruhi, Mario Balotelli akifurahia wakati anatazama mechi baina ya timu yake na Stoke City Uwanja wa Anfield leo
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2854000/Liverpool-1-0-Stoke-City-Glen-Johnson-bags-85th-minute-winner-Anfield-ease-pressure-Reds-manager-Brendan-Rodgers.html#ixzz3KTkOE4ur
0 comments:
Post a Comment