LIVERPOOL imechapwa mabao 3-1 na Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo, licha ya kuongoza kwa 1-0.
Rickie Lambert aliyesajiliwa msimu huu, aliupewa nafasi ya kuanza kutokana na kukosekana kwa Daniel Sturridge na Mario Balotelli ambao ni majeruhi na akafunga bao lake la kwanza katika Ligi Kuu kwa Liverpool dakika ya pili.
Palace wakatoka nyuma na kushinda 3-1, Dwight Gayle akisawazisha dakika ya 17, kabla ya Joe Ledley kufunga la pili dakika ya 78 na Mile Jedinak akafunga la tatu dakika ya 81.
Mile Jedinak steps up to deliver the killer blow to Liverpool as the visitors lost 3-1 against Crystal Palace
Liverpool goalkeeper Simon Mignolet dives but cannot save Jedinak's fine free-kick to beat the visitors 3-1 at Selhurst Park
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2846164/Crystal-Palace-3-1-Liverpool-Selhurst-Park-curse-strikes-Brendan-Rodgers-men-throw-away-lead.html#ixzz3JuGbvSZo
0 comments:
Post a Comment