BRAZAMENI Lewis Hamilton ndiye mfalme wa mbio za magari tena. Historia imeangukia kwa kijana huyo mwenye umri wa miaka 29 kutoka Stevenage katika anga la kiza la Abu Dhabi, ziliangushwa sherehe kwa Muingereza huyo wa nne kushinda taji la dunia la Formula One.
Prince Harry wa Wales – alimwagia pongezi kijana huyo, akimuambia: "Hakika wewe ni gwiji,". Pia walimuambia alikuwa dereva wa kwanza wa Mercedes-Benz tangu Juan-Manuel Fangio, mwaka 1955.
Brazameni huyo amemshinda Nico Rosberg katika fainali leo kunyakua taji hilo kwa pointi 67.
Lewis Hamilton akibusu taji la Abu Dhabi Grand Prix baada ya kushinda leo
Hamilton akiinua taji lake mbele ya mchezaji mwenzake Nico Rosberg
Hamilton akipongezwa na mpenzi wake, Nicole Scherzinger baada ya ushindi
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/formulaone/article-2846205/Lewis-Hamiton-wins-Abu-Dhabi-wraps-Drivers-Championship-rival-Nico-Rosberg-suffers-power-failure.html#ixzz3JuJd4G8E
0 comments:
Post a Comment