Bondia Chris Algieri akijaribu kuinuka baada ya kudondoshwa chini na mpinzani wake, Manny Pacquiao katika pambano la uzito wa Welter jana mjini Macau, China. Pac alishinda kwa pointi.
Pacquiao akimuadhibu Algieri China jana
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/boxing/article-2845905/Manny-Pacquiao-produces-dominant-display-beat-Chris-Algieri-points-Macau.html#ixzz3JtBErLk4
0 comments:
Post a Comment