// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); JENERALI MWAMUNYANGE AMFARIJI HANS POPPE MSIBA WA MAMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE JENERALI MWAMUNYANGE AMFARIJI HANS POPPE MSIBA WA MAMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, November 01, 2014

    JENERALI MWAMUNYANGE AMFARIJI HANS POPPE MSIBA WA MAMA

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) akimfariji Kapteni wa zamani wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Zacharia Hans Poppe (kushoto) kufuatia kifo cha mama yake mzazi juzi. Jenerali Mwamunyange alimtembelea Hans Poppe nyumbani kwake, Ununio, Mbezi Beach, Dar es Salaam ambako msiba upo. Mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa Iringa leo kwa mazishi kesho.
    Jenerali Mwamunyanye akizungumza na Hans Poppe msibani
    Rais wa Simba SC, Evans Aveva kulia akimfariji Mwenyekiti wake wa Kamati ya Usajili, Hans Poppe
    Ndugu jamaa na marafiki wakimfariji Hans Poppe jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JENERALI MWAMUNYANGE AMFARIJI HANS POPPE MSIBA WA MAMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top