Mshambuliaji wa PSG, Zlatan Ibrahimovic akimtoka beki wa Metz, Jeremy Choplin (kulia) katika mechi ya Ligue 1, Ufaransa jana. PSG ilishinda 3-2 mabao yake yakifungwa na Javier Pastore, Gaetan Bussmann aliyejifunga na Ezequiel Lavezzi wakati ya Metz yote yalifungwa na Modibo Maiga.
Lavezzi (kushoto) akipambana na beki wa Metz, Romain Metanire
0 comments:
Post a Comment