Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Paris Saint-Germain kwa penalti dakika ya 15 ikiilaza 1-0 Nice Uwanja wa the Parc des Princes usiku wa jana katika Ligue 1, Ufaransa
Ibrahimovic (katikati) akiruka juu dhidi ya Romain Genevois wa Nice jana
0 comments:
Post a Comment