Anthony Watson wa timu ya taifa ya Rugby ya England, akiwatoka wachezaji wa Samoa jana katika mechi ya michuano ya QBE Autumn International Test mjini Twickenham. England ilishinda 28-9.
Mike Brown (katikati) akichukua pasi ya Watson kuifungia England
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/rugbyunion/article-2845643/England-28-9-Samoa-George-Ford-Jonny-ensure-end-dismal-Autumn-run.html#ixzz3JtFPfGVu
0 comments:
Post a Comment