CHELSEA imeendeleza umwamba katika Ligi Kuu ya England, baada ya kuichapa mabao 2-0 West Brom jioni ya leo Uwanja wa Stamford Bridge, London.
Diego Costa aliifungia Chelsea bao la kuongoza dakika ya 11, ingawa West Brom walilalamika alikuwa ameotea- na Eden Hazard akakamilisha ushindi wa The Blues kwa bao la pili dakika ya 25.
West Brom ilipata pigo dakika ya 29 baada ya Claudio Yacob kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kumchezea rafu Costa.
Kikosi cha Chelsea kilikuwa; Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Fabregas, Matic, Willian/Ramires dk86, Oscar/Remy dk79, Hazard na Costa/Drogba dk83.
West Brom; Foster, Wisdom, Lescott, Dawson, Baird/Gamboa dk68, Yacob, Gardner, Dorrans/Morrison dk84, Sessegnon, Brunt na Berahino/Anichebe dk78.
Costa checks for the offside flag that never came as Chelsea took an 11th-minute lead against West Brom on Saturday
Costa got Chelsea on their way to a comfortable three points against West Brom in the Premier League match
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2845224/Chelsea-2-0-West-Brom-Diego-Costa-Eden-Hazard-deadly-Premier-League-leaders.html#ixzz3JoryUu00
0 comments:
Post a Comment