// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DIEGO COSTA AITEKETEZA LIVERPOOL ANFIELD, CHELSEA MOTO BATI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DIEGO COSTA AITEKETEZA LIVERPOOL ANFIELD, CHELSEA MOTO BATI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, November 08, 2014

    DIEGO COSTA AITEKETEZA LIVERPOOL ANFIELD, CHELSEA MOTO BATI

    CHELSEA imeichapa mabao 2-1 Liverpool Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo.
    Aliyeipa pointi tatu za leo Chelsea ni mshambuliaji wa Hispania, Diego Coasta aliyefunga bao la ushindi dakika ya 67, akimalizia kazi nzuri ya Cesar Azpilicueta. 
    Emre Can alitangulia kuifungia Liverpool dakika ya tisa, kabla ya Gary Cahill kuisawazishia Chelsea dakika ya 14 .
    Kikosi cha Liverpool kilikuwa: Mignolet, Johnson, Skrtel, Lovren, Moreno, Gerrard, Can/Allen dk70, Henderson, Coutinho/Borini dk70, Sterling na Balotelli/Lambert dk79.
    Chelsea: Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Matic, Fabregas, Ramires/Willian dk54, Oscar, Hazard/Luis dk90, Costa/Drogba dk90. 

    Diego Costa (kulia) akiifungia Chelsea bao la ushindi Uwanja wa Anfield leo

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2826479/Liverpool-1-2-Chelsea-Diego-Costa-lashes-home-winner-visitors-Jose-Mourinho-s-vice-like-grip-Reds-continues.html#ixzz3IUYnnfqW 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DIEGO COSTA AITEKETEZA LIVERPOOL ANFIELD, CHELSEA MOTO BATI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top