Mshambuliaji wa Liverpool, Mario Balotelli kulia akitazama ndondi kutoka pembezoni mwa ulingno ukumbi wa Echo Arena mjini Liverpool, usiku wa jana kuamkia mechi ya timu yake na Crystal Palace mchana wa leo
Balotelli aliwashangaza wengi kwa kuwa kwake ndondi 'usiku mnene' badala ya kupumzika kujiandaa na mechi na Crystal Palace
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2845728/Mario-Balotelli-spotted-Cleverly-vs-Bellew-Liverpool-Reds-face-Crystal-Palace-London-tomorrow-lunchtime-doing-there.html#ixzz3Jrp3ORph
0 comments:
Post a Comment