MCHEZAJI bora nambari moja wa tenisi Uingereza na bingwa wa Wimbledon, Andy Murray amemvisha pete ya ucuhumba mpenzi wake, Kim Sears, waliyedumu naye kwa miaka zaidi ya tisa.
Wawakilishi wa Murray wamethibitisha uchumba huo wa kiajan huyo mwenye umri wa miaka 27, Murray na Sears, mwenye umri wa miaka 26, lakini hawakutoa taarifa zaidi.
Kimwana huyo, Miss Sears, ambaye Sahada, alikutana na Murray katika michuano ya US Open mwaka 2005.
Andy Murray akiwa na mkewe mtarajiwa Kim Sears
Kinda Murray, kulia, akimbusu Kim Sears baada ya michuano ya SAP Open mwaka 2006
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/tennis/article-2850786/Andy-Murray-engaged-Wimbledon-champion-pops-question-long-term-girlfriend-Kim-Sears.html#ixzz3KDeoAL7C
0 comments:
Post a Comment