Kiungo huyo wa Cameroon ameamua kuvaa nguo zenye jina la timu yake, West Ham
Mcameroon huyo amekuwa akituopia swag za mavazi yake kwenye mitandao ya kijamii
Song ametupia picha bizi kwenye akaunti yake ya Instagram
Song amebuni lego yake mwenyewe ya mavazi ambayo ameipa nina Systeme Tchakap, ambayo inamaansha mfumo wa maisha ya Kiafrika
0 comments:
Post a Comment