// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AL AHLY WAPIGWA 2-1 FAINALI YA KWANZA KOMBE LA SHIRIKISHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AL AHLY WAPIGWA 2-1 FAINALI YA KWANZA KOMBE LA SHIRIKISHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, November 30, 2014

    AL AHLY WAPIGWA 2-1 FAINALI YA KWANZA KOMBE LA SHIRIKISHO

    TIMU ya Sewe Sport imejiweka katika mazingira mazuri ya kutwaa Kombe la Shirikisho, baada ya jana kuifunga Al Ahly ya Misri mabao 2-1 katika Fainali ya kwanza mjini Abidjan, Ivory Coast.
    Mabao ya Sewe yalifungwa na Koffi Christian Kouame na Cedric Roger Assale wakati bao la ugenini la Ahly lilifungwa na Mahmoud Hassan.
    Ahly sasa itahitaji ushindi wa 1-0 nyumbani katika mchezo wa marudiano wikiendi ijayo mjin Cairo ili kutwaa taji hilo.
    Al Ahly wamefungwa 2-1 na Sewe jana katika Fainali ya kwanza ya Ligi Mabingwa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AL AHLY WAPIGWA 2-1 FAINALI YA KWANZA KOMBE LA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top