// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 10 WAINGIA KWENYE ORODHA FUPI KUWANIA TUZO YA BBC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 10 WAINGIA KWENYE ORODHA FUPI KUWANIA TUZO YA BBC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, November 25, 2014

    10 WAINGIA KWENYE ORODHA FUPI KUWANIA TUZO YA BBC

    WANAMICHEZO 10 wameingia kwenye orodha fupi ya kuwania tuzo ya Mwanamichezo Bora wa BBC kwa mwaka 2014.
    Miongoni mwao ni mcheza Golf Rory McIlroy, atakayechuana na mwakasoka Gareth Bale, mcheza sarakasi Max Whitlock, mkimbiza wa magari ya langa langa Formula 1, Lewis Hamilton na mwogeleaji Adam Peaty.
    Wamo pai bondia Carl Froch, Charlotte Dujardin, Mwanariadha Jo Pavey na mchezaji wa michezo ya walemavu Kelly Gallagher.


    Lewis Hamilton akiwa na mpenzi wake, Nicole Scherzinger baada ya kuwasiliLondon akitokea Abu Dhabu alikoshinda mbio za Langa Langa mwishoni mwa wiki
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 10 WAINGIA KWENYE ORODHA FUPI KUWANIA TUZO YA BBC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top