
Sunday, November 30, 2014

Wachezaji wa Azam FC, Joseph Kimwaga kulia na John Bocco na Frank Domayo kushoto wakiwa na Daktari Nicolas aliyewafanyia upasuaji na mati...
HANS POPPE AREJEA KUTOKA ULAYA NA KUSEMA’ “USAJILI DIRISHA DOGO SAFI KABISA”
Sunday, November 30, 2014
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe amerejea usiku huu kutoka Ujerumani alipo...
RONALDO 'ORIJINO' ALIPOKUTANA NA ZLATAN IBRAHIMOVIC JANA PARIS
Sunday, November 30, 2014
Mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Brazil, Ronaldo Lima akiwa nyota wa PSG, Zlatan Ibrahimovic baada ya mechi dhidi ya Nice us...
MAN CITY PUNGUFU YAIFUMUA 3-0 SOUTHAMPTON
Sunday, November 30, 2014
LICHA ya kucheza pungufu baada ya Eliaquim Mangala kutolewa kwa kadi nyekundu, Manchester City imepata ushindi mnono ugenini wa mabao 3-0 d...
AL AHLY WAPIGWA 2-1 FAINALI YA KWANZA KOMBE LA SHIRIKISHO
Sunday, November 30, 2014
TIMU ya Sewe Sport imejiweka katika mazingira mazuri ya kutwaa Kombe la Shirikisho, baada ya jana kuifunga Al Ahly ya Misri mabao 2-1 katik...
KIPA YANGA SC APATA DHORUBA HADI KUPOTEZA FAHAMU UARABUNI
Sunday, November 30, 2014
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM KIPA wa zamani wa Yanga SC, Juma Mpongo jana ‘amechungulia kifo’ baada ya kupigwa na daluga la mchezaji mwe...
IBRA AIFUNGIA BAO PEKEE PSG IKIIBWAGA 1-0 NICE LIGUE 1
Sunday, November 30, 2014
Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Paris Saint-Germain kwa penalti dakika ya 15 ikiilaza 1-...
TOTO LA CHRIS EUBANK LACHAPWA NA MZUNGU
Sunday, November 30, 2014
Bondia Billy Joe Saunders (kulia) akipambana na Chris Eubank Junior kushoto usiku wa jana ukumbi wa ExCeL mjini London, katika pam...
TYSON AMSHINDA CHISORA, SASA KUMVAA KLITSCHKO
Sunday, November 30, 2014
Bondia Tyson Fury (kulia) akimchapa konde la uppercut mpinzani wake Dereck Chisora katika pambano la uzito wa juu usiku wa jana u...
REAL MADRID YAWEKA REKODI MPYA BAADA YA KUICHAPA MALAGA 2-1
Sunday, November 30, 2014
WINGA Gareth Bale, beki Sergio Ramos na kocha wao, Carlo Ancelotti have been celebrating after winning 16 straight games wamesherehekea k...
BENO NJOVU ‘OUT’ YANGA SC, PANGA LA MANJI LAWAWINDA WENGINE ZAIDI
Sunday, November 30, 2014
Na Abdul Salim, DAR ES SALAAM MKATABA wa Katibu wa Yanga SC, Benno Njovu unamalizika leo na kwa bahati mbaya klabu hiyo haina mpango naye...
USHAURI WA BURE KWA TENGA NA CECAFA YAKE
Sunday, November 30, 2014
OFISA Habari wa Katibu wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Rodgers Mulindwa ameibuka wiki hii kukanusha taarifa ...
Saturday, November 29, 2014
CHELSEA YAPUNGUZWA KASI LIGI KUU ENGLAND
Saturday, November 29, 2014
Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akipambana na beki wa Sunderland, John O'Shea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jion...
LIVERPOOL YATAKATA ANFIELD, BALOTELLI HANA MBAVU JUKWAANI
Saturday, November 29, 2014
Mabeki wa kati wa Liverpool, Kolo Toure (kushoto) na Joe Allen (kulia) wakiruka juu kupambana na mshambuliaji wa Stoke City, Jonat...
MAN UNITED SASA IMESIMAMA, YAICHAPA HULL CITY 3-0
Saturday, November 29, 2014
KLABU ya Manchester United imeichapa mabao 3-0 Hull City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford. Maba...
MASHABIKI ARSENAL 'WAMTIMUA' KWA MABANGO WENGER
Saturday, November 29, 2014
Baadhi ya mashabiki wa Arsenal wakiwa wamening'iniza bango linalopendekeza kocha Arsene Wenger aondoke baada ya mwanzo mbaya m...
BABU WA MIAKA 63 AMPIGA KO RAUNDI YA PILI 'DOGO' WA MIAKA 33
Saturday, November 29, 2014
KAMA ingekuwa sinema ya Hollywood, ingekuwa bomba sana. Lakini Mickey Rourke hakuwa anaigiza jana wakati alipopanda ulingoni baada ya mi...
WELBECK AIPA POINTI TATU ARSENAL LIGI KUU ENGLAND
Saturday, November 29, 2014
BAO pekee la mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Danny Welbeck limeipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya West Bromwich Albion kati...
MAWAKALA WA WACHEZAJI 'WANAVYOZICHUNA' KLABU LIGI KUU ENGLAND
Saturday, November 29, 2014
KLABU za Ligi Kuu ya England zimetumia kiasi cha Pauni Milioni 115 kwa malipo ya mawakala wa wachezaji kwa vipindi viwili vilivyopita vya ...
EL MERREIKH WAPATA MRITHI WA TRAORE, NI MKALI WA MABAO GHANA
Saturday, November 29, 2014
Na Gary Al-Smith, KUMASI KATIKA kujiandaa na maisha bila mshambuliaji wa Mali, Mohamed Traore aliye mbioni kwenda Azam FC ya Tanzania, El ...
Friday, November 28, 2014
MFALME WA MABAO KENYA ATUA DAR KIMYA KIMYA KUFANYA MIPANGO YA KAZI SIMBA SC
Friday, November 28, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uganda, Daniel Muzeyi ‘Dan’ Sserunkuma yupo Dar es Salaam tangu juzi akifan...
FALCAO NA ROJO WAREJEA KUONGEZA NGUVU KIKOSINI MAN UNITED
Friday, November 28, 2014
MSHAMBULIAJI Radamel Falcao yuko tayari kuongeza nguvu kikosini Manchester United katika mechi dhidi ya Hull City Uwanja wa Old Trafford J...
SUSIE APATA ULAJI WILLIAMS KWA FORMULA ONE
Friday, November 28, 2014
KIMWANA Susie Wolff amepelekwa kwenye majaribio rasmi ya udereva wa magari ya Williams katika mbio za Formula One 2015. Akiwa amepanda d...
MOSOTI AWAGEUKIA SIMBA; AJIUNGA NA TUSKER FC
Friday, November 28, 2014
Na Vincent Malouda, NAIROBI ALIYEKUWA beki wa Simba SC ya Tanzania, Donald Mosoti ametia mkataba wa miaka miwili na mabingwa mara kumi wa ...
Subscribe to:
Posts (Atom)