// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC WAMFARIJI HANS POPPE MSIBA WA MAMA, WADAU WENGINE KIBAO WAMIMINIKA MSIBANI UNUNIO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC WAMFARIJI HANS POPPE MSIBA WA MAMA, WADAU WENGINE KIBAO WAMIMINIKA MSIBANI UNUNIO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, October 31, 2014

    YANGA SC WAMFARIJI HANS POPPE MSIBA WA MAMA, WADAU WENGINE KIBAO WAMIMINIKA MSIBANI UNUNIO

    Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC, Clement Sanga (kulia) akimfariji Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe ambaye amefiwa na mama yake mzazi jana nyumbani kwake Ununio, Mbezi Beach, Dar es Salaam.
    Hans Poppe akizungumza na rafiki yake katika msiba huo jana
    Balozi Abdul 'Cisco' Mtiro kushoto akizungumza na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ayoub Nyenzi kulia na Mwandishi wa gazeti la Mwanaspoti, Khatim Naheka katikati 
    Memba wa kundi la Friends Of Simba (F.O.S.), Jerry Yambi kushoto na  mfanyabiashara Abdulfatah Salim kulia
    Mtendaji Mkuu wa BIN ZUBEIRY Blog, Mahmoud Zubeiry (katikati) na Nyenzi na Mtiro kushoto
    Hans Poppe akifarijiwa na ndugu, jamaa na marafiki
    Kulia ni mfuasi wa kundi lililopoteza umaarufu, Yanga Family, Mashaka Ndonde na kushoto DJ mkongwe, Bonny Luv ambaye ni mmoja wa watayarishaji wa mwanzoni wa muziki wa Bongo Fleva

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC WAMFARIJI HANS POPPE MSIBA WA MAMA, WADAU WENGINE KIBAO WAMIMINIKA MSIBANI UNUNIO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top