// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SHETTA ALIPOTINGA NA MKOKO WAKE MPYA KABISA KARUME KUISAPOTI FRIENDS RANGERS JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SHETTA ALIPOTINGA NA MKOKO WAKE MPYA KABISA KARUME KUISAPOTI FRIENDS RANGERS JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, October 29, 2014

    SHETTA ALIPOTINGA NA MKOKO WAKE MPYA KABISA KARUME KUISAPOTI FRIENDS RANGERS JANA

    Msanii wa Bongo Fleva, Shetta akiwasili Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam jana kushuhudia mpambano wa Ligi ya soka Daraja la Kwanza Tanzania Bara kati ya timu yake, Friends Rangers na Ashanti United jana, Rangers ilishinda 2-1.
    Shetta akiwa na Msemaji wa Rangers, Asha Kigundula kulia akiangalia mechi
    Gari jipya kabisa aina ya Harrier imepaki, Shetta anaangalia burudani chini

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SHETTA ALIPOTINGA NA MKOKO WAKE MPYA KABISA KARUME KUISAPOTI FRIENDS RANGERS JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top