- ARSENAL imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji Sunderland Uwanja wa Light katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo.
- Alexis Sanchez aliifungia mabao yote hayo timu ya Arsene Wenger dakika ya 30 na la pili dakika ya 90.
- Kikosi cha Sunderland kilikuwa; Mannone, Vergini, Van Aanholt, O’Shea, Brown, Cattermole, Larsson, Rodwell/Gomez dk74, Buckley, Johnson/Altidore dk74 na Fletcher/Wickham dk51.
- Arsenal; Szczesny, Chambers, Mertesacker, Monreal, Gibbs/Bellerin dk74, Arteta/Ramsey dk88, Flamini, Oxlade-Chamberlain/Rosicky dk90, Cazorla, Sanchez na Welbeck.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2807717/Sunderland-0-2-Arsenal-Alexis-Sanchez-double-secures-three-points-Arsene-Wenger.html#ixzz3HB8a7yiT
0 comments:
Post a Comment