Sergio Ramos (kushoto) na Ronaldo wakijiandaa na El Clasico la kwanza msimu huu
Raphael Varane (kushoto) akipambana na beki Mbrazil Marcelo
Makipa Iker Casillas (kulia) na Keylor Navas (kushoto)
Kocha Carlo Ancelotti (kushoto) atamkosa Gareth Bale (pichani chini) ambaye ni majeruhi
Gareth Bale hakufanya mazoezi leo kwa sababu ana maumivu na hatarajiwi kucheza kesho
0 comments:
Post a Comment