Mshambuliaji wa Aston Villa, Christian Benteke akipambana na beki wa QPR, Richard Dunne katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Loftus Road. QPR ilishinda 2-0, mabao yote akifunga Charlie Austin dakika ya 17 na 69.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2810161/QPR-2-0-Aston-Villa-Charlie-Austin-double-lifts-Rangers-bottom-takes-weight-Harry-Redknapp-s-shoulders.html#ixzz3HP02Q4rG

0 comments:
Post a Comment