KIUNGO Paul Pogba ameposti picha yake akisaini Mkataba wake mpya na vigogo wa Serie A, Juventus.
MMchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21, ambaye mkaaba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika mwaka 2016, hive karibuni amesaini mkataba mpya ambao utamuweka katika klabu hiyo ya Italia hadi Juni 2019.
Kiungo huyo wa zamani wa Manchester United amekuwa akizivutia klabu kadhaa Ulaya, mambo ambalo limekiharakisha 'Kibibi Kizee cha Turin' kumpa mkataba huo mpya, utamfanya awe anapata mshahara wa Pauni 70,000 kwa wiki.
0 comments:
Post a Comment