KUFUATIA ushindi wa 7-1 wa Bayern Munich dhidi ya AS Roma katika Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumanne usiku, msafara mzima wa timu hiyo ulimtembelea Papa Francis Jijini humo.
Jumatano jioni kufuatia ushindi wao huo Uwanja wa Stadio Olimpico usiku uliotangulia, Bayern walimtembelea Papa Vatican na kumpa zawadi mbalimbali, ikiwemo jezi ya timu hiyo iliyosaidiwa na mpira.
Papa aliwahutubia wachezaji na msafara mzima wa timu hiyo kabla ya kuwachana nao katika tukio hilo la kihistoria.
Papa akiwapa neno wachezaji na viongozi wa mabingwa hao wa Bundesliga
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2802981/bayern-munich-visit-vatican-meet-pope-francis-roma-s-thrashing-biblical-proportions.html#ixzz3Gun02GBS
0 comments:
Post a Comment