Suarez amefanya mazoezi kikamilifu na wenzake leo Uwanja wa Joan Gamper Sports City mjini
Kocha Luis Enrique ameahidi kumpa dakika kadhaa Luis Suarez dhidi ya Real Madrid kesho
Suarez (wa pili kuliaakizungumza na wenzake mazoezini
Messi kulia akizungumza na Neymar, wakati kushoto Javier Mascherano anazungumza na Suarez mazoezini
0 comments:
Post a Comment