// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAGURI AWAPA RAHA SIMBA SC, APIGA BAO PEKEE MNYAMA AKIUA 1-0 IRINGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAGURI AWAPA RAHA SIMBA SC, APIGA BAO PEKEE MNYAMA AKIUA 1-0 IRINGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, October 29, 2014

    MAGURI AWAPA RAHA SIMBA SC, APIGA BAO PEKEE MNYAMA AKIUA 1-0 IRINGA

    Mshambuliaji Elias Maguri amefunga bao pekee Simba SC ikishinda 1-0 dhidi ya Lipuli ya Iringa katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja Samora mjini Iringa. Simba SC ikiweka kambi Iringa kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Jumamosi Uwanja Jamhuri mjini Morigoro.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAGURI AWAPA RAHA SIMBA SC, APIGA BAO PEKEE MNYAMA AKIUA 1-0 IRINGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top