// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ARSENAL YAFIKISHA MABAO 1,500 LIGI KUU, LAKINI MAN UNITED BADO BABA LAO ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ARSENAL YAFIKISHA MABAO 1,500 LIGI KUU, LAKINI MAN UNITED BADO BABA LAO ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, October 27, 2014

    ARSENAL YAFIKISHA MABAO 1,500 LIGI KUU, LAKINI MAN UNITED BADO BABA LAO ENGLAND

    KLABU ya Arsenal imefikisha mabao 1,500 iliyofunga katika Ligi Kuu ya England kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Sunderland Jumamosi.
    Mabao mawili ya Alexis Sanchez aliyoifungia timu ya Arsene Wenger Uwanja wa Light, yanaifanya The Gunners biwe klabu ya pili ya Ligi Kuu England kufikisha idadi hiyo ya mabao.
    Huku Thierry Henry, Ian Wright, Robin van Persie na Dennis Bergkamp wakiwa miongoni mwa wachezaji wa zamani wa Arsenal waliochangia mabao mengi kwenye idadi hiyo, ajabu hiyo inakuwa timu ya pili kufunga mabao mengi katika historia ya Ligi Kuu.

    Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao yote katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sunderland 

    MSIMAMO WA KIHISTORIA LIGI KUU ENGLAND
    KlabuPWDLGFGAGDPTS
    1Man United85755017912817077599481829
    2Arsenal85746322616815008066941615
    3Chelsea85745521718514528166361581
    4Liverpool85742621521614218585631493
    5Tottenham85733922129712041130741238
    6Everton85731224530011091075341181
    7Aston Villa85630626029010631065-21178
    8Newcastle77730520227010941027671117
    9Blackburn69626218425092790720970
    10Man City667266167234958817141965
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YAFIKISHA MABAO 1,500 LIGI KUU, LAKINI MAN UNITED BADO BABA LAO ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top