
Friday, October 31, 2014

KIUNGO David Silva hatacheza keshokutwa mechi ya mahasimu wa Jiji la Manchester katokana na maumivu ya goti. Kocha wa Manchester City, M...
KIONGOZI YANGA SC AFANYA 'MAMBO' UWANJA WA KAITABA MCHANA KWEUPEEE
Friday, October 31, 2014
Wakandarasi; Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Mohammed Bhinda akisawazisha udongo kwenye Uwanja wa Kaitaba leo baada ya kuchimbu...
YANGA SC NA ‘MAZINGAOMBWE’ YA MIKATABA YA WACHEZAJI, AMBAYO MWISHOWE HUWATOKEA PUANI…SASA WANA ‘KIMEO’ CHA KASEJA
Friday, October 31, 2014
Na Renatus Mahima, DAR ES SALAAM KIPA Juma Kaseja Juma ameweka wazi kwamba ana mpango wa kuvunja mkataba wake na Yanga SC endapo klabu hiy...
MAKOCHA 35 KUSHIRIKI KOZI YA LESENI C YA CAF
Friday, October 31, 2014
Na Boniface Wambura, DAR ES SALAAM MAKOCHA 35 wameteuliwa kushiriki kozi ya ukocha ya Leseni C ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF...
DK NDUMBARO AIBUKA TENA, YEYE NA MALINZI TU
Friday, October 31, 2014
Na Samira Said, DAR ES SALAAM HUKU Dk. Damas Ndumbaro, akiwa amekata rufaa kupinga adhabu ya kifungo cha miaka saba kujihusisha na soka nd...
NANI MTANI JEMBE 2 KATIKA PICHA
Friday, October 31, 2014
Gari la Promoshen la Kilimanjaro Premium Lager likipita katika Mitaa ya Mwenge Dar es Salaam kutangaza Kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 kwa ...
MENEJA WA KASEJA ‘ABAMBWA FARAGHA’ NA KIGOGO WA SIMBA SC MBEZI BEACH…NI SIKU MOJA TU BAADA YA KUWACHIMBA MKWARA YANGA SC
Friday, October 31, 2014
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM SIKU moja baada ya kutishia kuvunja mkataba wa mteja wake na klabu ya Yanga SC, Meneja wa kipa Juma Kaseja...
NI MIAKA MINNE TANGU TUMPOTEZE ‘SUPER COACH’
Friday, October 31, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM TAREHE na mwezi kama wa leo, mwaka 2010 soka ya Tanzania ilipata pigo kufuatia kifo cha kochaa maarufu w...
YANGA SC WAMFARIJI HANS POPPE MSIBA WA MAMA, WADAU WENGINE KIBAO WAMIMINIKA MSIBANI UNUNIO
Friday, October 31, 2014
Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC, Clement Sanga (kulia) akimfariji Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe ambaye a...
Thursday, October 30, 2014
HANS POPPE AFIWA NA MAMA MZAZI
Thursday, October 30, 2014
Hans Poppe na mama yake kushoto MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe amefiwa na mama yake mzazi, Anna Merca...
YANGA SC WATUA ‘SALAMA SALMINI’ BUKOBA TAYARI KWA KAZI NA KAGERA SUGAR JUMAMOSI
Thursday, October 30, 2014
Na Mwandishi Wetu, BUKOBA KIKOSI cha Yanga SC kimewasili salama mjini Bukoba mkoani Kagera, tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanza...
NOOIJ AITWA 29 WAPA KIKOSI CHA MABORESHO TAIFA STARS
Thursday, October 30, 2014
Na Boniface Wambura, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), linatarajia kuendelea na awamu ya pili ya maboresho ya timu ya Taifa...
LIGI DARAJA LA PILI YAANZA KUTIMUA VUMBI NOVEMBA 22
Thursday, October 30, 2014
Na Boniface Wambura, DAR ES SALAAM LIGI Daraja la Pili Tanzania Bara (SDL) inayoshirikisha timu 24 zitakazocheza katika makundi manne ya t...
TFF YATANGAZA BONGE LA TENDA KWA WABUNIFU, NI DILI LA JEZI MPYA YA TIMU ZA TAIFA
Thursday, October 30, 2014
Na Boniface Wambura, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linakaribisha wabunifu, kubuni mwonekano wa jezi mpya za timu ya Taif...
SIMBA NA WAZIDI KUVUTANA NANI MTANI JEMBE 2
Thursday, October 30, 2014
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WATANI wa Jadi Simba na Yanga wanaendelea kuvutana vikali katika dhindano la 'Nani Mtani Jembe2' ...
AZAM FC YAWAFUATA NDANDA FC BILA YA KIPRE TCHETCHE
Thursday, October 30, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KIKOSI cha Azam FC kimeondoka Dar es Salaam mchana wa leo kwenda Mtwara kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ...
PETER SCHMEICHEL ASEMA MAN CITY 'WAMEKWISHAIPOTEZA' UNITED
Thursday, October 30, 2014
KIPA wa zamani wa Manchester United, Peter Schmeichel anaamini kwa sasa Manchester City ni klabu kubwa zadi ya wapinzani wao hao wa Jiji k...
ROONEY KUANZA NA MAN CITY, VAN PERSIE ATASUBIRI KWENYE KITI
Thursday, October 30, 2014
NAHODHA Wayne Rooney yuko fiti kucheza mechi ya wapinzani wa Jiji la Manchester mwishoni mwa wiki. Rooney alizua hofu United Jumatatu, w...
ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND, MOURINHO APEWA WABISHI WA DARAJA LA KWANZA, LIVERPOOL NA BOURNEMOUTH
Thursday, October 30, 2014
KLABU ya Chelsea itakutana na Derby County katika Robo Fainali ya Kombe la Ligi, wakati Newcastle itapambana na Tottenham baada ya kuwatoa...
Subscribe to:
Posts (Atom)