// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
YANGA SC NA PRISONS KATIKA PICHA JANA TAIFA...KONO LA BIN ZUBEIRY NI HATARI BWANA WEEE! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEYANGA SC NA PRISONS KATIKA PICHA JANA TAIFA...KONO LA BIN ZUBEIRY NI HATARI BWANA WEEE! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
YANGA SC NA PRISONS KATIKA PICHA JANA TAIFA...KONO LA BIN ZUBEIRY NI HATARI BWANA WEEE!
Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Khalfan Ngassa akimtoka beki wa Prisons ya Mbeya, Laurian Mpalile katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 2-1.
Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimtoka beki wa Prisons, Jacob Mwakalobo
Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima kulia akimtoka beki wa Prisons, Freddy Chudu
Beki wa Yanga SC, Edward Charles kulia akimtoka beki wa Prisons, Julius Kwangwa
Simon Msuva akimtoka beki wa Prisons
Kiungo Mbrazil wa Yanga SC, Andrey Coutinho akipasua katikati ya wachezaji wa Prisons
Beki wa Prisons, Nurdin Chona akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga SC, Mbrazil Genilson Santana Santos 'Jaja'
Mshambuliaji wa Yanga SC, Genilson Santana Santos 'Jaja' akiruka kwanja la beki wa Prisons
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment