// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); VIGOGO F.O.S. 'WALIVYOFURAHI NA ROHO ZAO' TAIFA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE VIGOGO F.O.S. 'WALIVYOFURAHI NA ROHO ZAO' TAIFA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, September 21, 2014

    VIGOGO F.O.S. 'WALIVYOFURAHI NA ROHO ZAO' TAIFA LEO

    Mwenyekiti wa Friend Of Simba (F.O.S.), Zacharia Hans Poppe akifuatilia 'kwa furaha' mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, baina ya Simba SC na Coastal Union jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2.
    Kigogo wa F.O.S., Kassi Dewji katikati akifuatilia mchezo
    Vigogo mbalimbali wa F.O.S. kutoka kushoto Muslah Al Ruweyh, Salim Abdallah na Mohammed Nassor. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Iddi Kajuna wakifuatilia mchezo wa leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VIGOGO F.O.S. 'WALIVYOFURAHI NA ROHO ZAO' TAIFA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top