Kiungo wa Simba SC, Shaaban Kisiga 'Malone' kushoto akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Polisi, Lulanga Mapunda |
Kikosi cha Simba SC jana |
Kikosi cha Polisi jana |
Wachezaji wa Simba SC wakimpongeza Emmanuel Okwi baada ya kuwafungia bao la kuongoza jana |
Wachezaji wa Polisi wakimpongeza mfungaji wao bao lao la kusawazisha, Danny Mrwanda wa pili kulia |
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Kassim Dewji kushoto akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Said Tuliy wakifuatilia mchezo huo jana |
0 comments:
Post a Comment