// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SEWE SPORT YATANGULIA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SEWE SPORT YATANGULIA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, September 28, 2014

    SEWE SPORT YATANGULIA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

    TIMU ya Sewe Sport ya Ivory Coast, imetinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika 2014 baada ya sare ya bila kufungana katika Nusu Fainali ya pili dhidi ya AC Leopards ya Kongo Uwanja wa Manispaa Denis Sassou N'Guesso mjini Dolisie jana.
    Sewe Sport wanasonga mbele baada ya ushindi wa 1-0 katika mchezo wa kwanza nyumbani, shukrani kwake Christian Kouame aliyefunga bao hilo dakika ya 57.
    Sewe sasa itapambana na mshindi kati ya Al Ahly ya Misri na Coton Sport ya Cameroon. ably ilishinda 1-0 pia katika mchezo wa kwanza nyumbani.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SEWE SPORT YATANGULIA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top