// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RAFU ILIYOMPONZA ROONEY KULIMWA NYEKUNDU LEO UNITED IKISHINDA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RAFU ILIYOMPONZA ROONEY KULIMWA NYEKUNDU LEO UNITED IKISHINDA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, September 27, 2014

    RAFU ILIYOMPONZA ROONEY KULIMWA NYEKUNDU LEO UNITED IKISHINDA


    Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney akimkwatua kwa nyuma Stewart Downing wa West Ham kabla ya kuonyeshwa kadi nyekundu katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford. United ilishinda 2-1.
    Manchester United striker Wayne Rooney, centre, is shown a red card by referee Lee Mason
    Refa Lee Mason akimuonyesha kadi nyekundu Rooney
    Wayne Rooney received a straight red after a foul on Stewart Downing of West Ham
    Wachezaji wenzake Rooney wakimtetea kwa refa
    United captain Wayne Rooney walks off the pitch after receiving a red card for a foul on Stewart Downing
    Rooney akiondoka uwanjani kwa machungu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAFU ILIYOMPONZA ROONEY KULIMWA NYEKUNDU LEO UNITED IKISHINDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top