// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NAFASI NZURI AMBAYO UHURU ANGEFUNGA, SIMBA SC INGESHINDA LEO DHIDI YA COASTAL - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NAFASI NZURI AMBAYO UHURU ANGEFUNGA, SIMBA SC INGESHINDA LEO DHIDI YA COASTAL - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, September 21, 2014

    NAFASI NZURI AMBAYO UHURU ANGEFUNGA, SIMBA SC INGESHINDA LEO DHIDI YA COASTAL

    Kiungo wa Simba SC, Uhuru Suleiman alibaki yeye na kipa wa Coastal Union, Shaaban Kado dakika za mwishoni katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, lakini akapiga juu ya lango. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NAFASI NZURI AMBAYO UHURU ANGEFUNGA, SIMBA SC INGESHINDA LEO DHIDI YA COASTAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top