// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MBWANA SAMATTA 'ALIVYOWAPELEKA PELEKA' WAARABU JANA, LAKINI HAIKUWA RIZIKI YAO MAZEMBE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MBWANA SAMATTA 'ALIVYOWAPELEKA PELEKA' WAARABU JANA, LAKINI HAIKUWA RIZIKI YAO MAZEMBE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, September 29, 2014

    MBWANA SAMATTA 'ALIVYOWAPELEKA PELEKA' WAARABU JANA, LAKINI HAIKUWA RIZIKI YAO MAZEMBE

    Mshambuliaji wa TP Mazembe, Mtanzania Mbwana Samatta akimtoka beki wa ES Setif ya Algeria Uwanja wa Mazembe mjini Lubumbashi jana katika Nusu Fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mazembe ilishinda 3-2 na kufanya sare ya jumla ya 4-4 baada ya awali kufungwa 2-1 Algeria, hivyo kutolewa kwa mabao ya ugenini.
    Samatta akipasua katikati ya mabeki wa Setif 
    Samatta akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Setif 
    Samatta akimiliki mpira pembeni ya beki wa Setif

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBWANA SAMATTA 'ALIVYOWAPELEKA PELEKA' WAARABU JANA, LAKINI HAIKUWA RIZIKI YAO MAZEMBE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top